Hadithi
Funga za Kujikurubisha.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 4436
Atakayefunga siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu, atauweka mbali Mwenyezi Mungu uso wake na moto miaka sabini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4538
Aliniusia mimi kipenzi changu -rehema na amani ziwe juu yake kwa mambo matatu: kufunga siku tatu katika kila mwezi, na rakaa mbili baada ya kuchomoza jua (Dhuhaa), na nisali witiri kabla sijalala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6017
Hana swaumu atakayefunga milele, na funga ya siku tatu ni sawa na kufunga mwaka mzima
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake