Hadithi
Masiku kumi ya mwisho wa mwezi wa Ramadhani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3755
- 4202
Mwenye kusimama usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) kwa imani na kutaraji malipo, husamehewa madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4540
Utafuteni usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) katika witiri za kumi la mwisho katika Ramadhani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4545
Naona ndoto zenu zimeafikiana katika siku saba za mwisho, basi atakayetaka kuitafuta basi na aitafute katika siku saba za mwisho
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4944
Alikuwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- zinapoingia siku kumi (za mwisho wa ramadhani) anauhuisha usiku, na anawaamsha watu wake, na anaongeza juhudi na anakaza kikoi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake