Hadithi
Fadhila za Jihadi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 2967
Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3157
- 3437
Atakaye muandaa mpiganaji katika njia ya Mwenyezi Mungu basi na yeye atakuwa kapigana, na atakayemsimamia mpiganaji kwa wema katika familia yake basi na yeye atakuwa kapigana
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3868
Haijawahi kupata vumbi miguu ya mja yeyote katika njia ya Mwenyezi Mungu, halafu ikaguswa na moto
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3914
Anachokipata aliyekufa shahidi katika maumivu ya kifo, ni kama maumivu anayoyapata mmoja wenu kutokana na kung'atwa na mdudu chungu
Ni nzuriImepokelewa na Ibnu Maajah - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na An-Nasaaiy - Imepokelewa na Ahmad - Imepokelewa na Addaaramy - 4193
- 4227
Hivi unaonaje ikiwa nitauwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu, je yatafutwa makosa yangu?
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim - 6255
Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku kumi (za mwanzo wa Dhul-Hija)
SahihiImepokelewa na Bukhari na Abu Daud na matamshi ya hadithi ni yake