Hadithi
Aina za Jihadi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3480
- 3485
Yakwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- na mguu wake ukiwa tayari umeuweka kwenye kipandwa (yaani yuko tayari kwa safari): Ni jihadi ipi bora? Akasema: ni neno la haki kwa kiongozi muovu
SahihiImepokelewa na An-Nasaaiy - Imepokelewa na Ahmad