Hadithi
Hukumu za ugaidi, mauaji ya kuvizia na milipuko
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
tokeo 1
- 65868
Watatokea katika zama za mwisho watu wenye umri mdogo (vijana), wenye mawazo ya kipumbavu, watazungumza maneno mazuri kuliko maneno ya viumbe wote, (lakini) wanatoka katika Uislamu kama unavyotoka mshale katika upinde
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake