Hadithi
Maisha ya wanandoa.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 5792
Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule mbora wenu kwa wake zake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 5819
Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5821
Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanaume) hao si bora kati yenu
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Ibn Majah - 58093
Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni zipi haki za mke wa mmoja wetu juu yake?, Akasema: "Ni umlishe pale unapokula, na umvishe unapovaa, au utakapopata kipato, na wala usipige uso, na wala usitoe maneno machafu, na wala usihame isipokuwa ndani ya nyumba
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 58125
Atakayekuwa na wake wawili akaegemea kwa mmoja wao atakuja siku ya Kiyama upande wake mmoja ukiwa umepinda
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad