Hadithi
Ubora wa Makhalifa Waongofu Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
tokeo 1
- 65057
Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad