Hadithi
Ni kuamini hukumu na mipango
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 14
- 3159
Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini wa kike katika nafsi yake, na watoto wake, na mali yake mpaka atakapokutana na Mwenyezi Mungu ilhali hana dhambi hata moja
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3160
Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3339
Hakika ukubwa wa malipo huendana sawa pamoja na ukubwa wa matatizo, na hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anapowapenda watu huwapa mtihani; atakayeridhia atapata radhi, na atakayechukia atapata hasira (za Mwenyezi Mungu).
SahihiImepokelewa na Ibnu Maajah - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - 4204
Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 4811
- 4849
hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alijitenga mbali na mpiga mayowe, na mnyoa nywele, na mchana nguo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5493
Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeka kwa Mwenyezi Mungu kuliko muumini dhaifu, na katika kila kheri,
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65037
Ametuhadithia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- naye ni mkweli mwenye kukubaliwa: "Kwa hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake kwenye tumbo la mama yake mchana arobaini na nyusiku arobaini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65038
Aliandika Mwenyezi Mungu makadirio ya viumbe kabla ya kuumba Mbingu na Ardhi kwa zaidi ya miaka elfu hamsini
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65039
- 65040
Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy - 65069
Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 66513
Hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake ndani ya tumbo la mama yake siku arobaini
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim - 66522