Hadithi
Mavazi yake Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 2990
Sijawahi kumuona mwenye nywele ndefu na vazi jekundu zuri kuliko Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3018
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendezwa sana na kuanzia kulia, katika kuvaa kwake viatu, na kutana kwake nywele, na twahara yake, na katika mambo yake yote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake