Hadithi
Ukarimu wake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
tokeo 1
- 6179
Alikuwa Mtume wa Allah -rehema na amani ziwe juu yake ni mkarimu kuliko watu wote, na alikuwa mkarimu zaidi anapokuwa katika mwezi wa Ramadhani pindi anapokutana na Jibrili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake