Hadithi
Upole wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
tokeo 1
- 6389
Hakuwahi kupewa hiyari Mtume rehema na amani ziwe juu yake baina ya mambo mawili hata siku moja isipokuwa atachukua jepesi lake, madamu si dhambi, ikiwa itakuwa ni dhambi, basi hujiwekanalo mbali kuliko watu wote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake