Hadithi
Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika kujitwaharisha.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake