Hadithi
Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika swala
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3177
- 3220
Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa anapo swali anatanua kati ya mikono yake mpaka unaonekana weupe wa kwapa zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3443
Alikuwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akiitembelea msikiti wa Qubaa kwa kipando na pia kwa miguu, anaswali ndani yake rakaa mbili
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake