Hadithi
Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika Ndoa na kuamiliana na wake zake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3145
“Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shari iliyokaribia, imefunguliwa leo katika ngome ya Ya'juuju na Ma'ajuju upenyo wa kiasi hiki.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3476
Nilikuwa nikioga mimi na Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika chombo kimoja sisi wote tukiwa na janaba, na alikuwa akiniamrisha najifunga kikoi (kishida), ananigusa na mimi nikiwa katika hedhi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake