Hadithi
Kufuta juu ya Khofu mbili au soksi mbili
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3014
Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3075
Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndogo akiwa kasimama,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4565
Alikuwa kituamrisha tunapokuwa safarini tusivue khofu zetu kwa siku tatu (mchana na usiku) isipokuwa kwa ajili ya janaba, lakini ni kwa haja kubwa na ndogo na usingizi
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 8392
- 65378
Nilimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikidhi haja ndogo, kisha akatia udhu na kafuta juu ya khufu zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake