Hadithi
Kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika majina yake na sifa zake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 29
- 3354
Hakika Mwenyezi Mungu hupata wivu, na hakika muumini hupata wivu, na wivu wa Mwenyezi Mungu ni pale muumini anapoyafanya yale aliyomharamishia juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3376
Ni nini kinachowaogopesha hawa? wanapatwa na ulaini (wanazikubali) katika aya zilizo wazi, na wanaangamia katika aya zinazotatiza
SahihiImepokelewa naIbn Abii A'swim - Imepokelewa na Abdul Razaaq - 3469
Fanyeni matendo na muwe na msimamo, na tambueni kuwa hatosalimika mmoja wenu kwa sababu ya matendo yake, wakasema: Hata wewe ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu?! Akasema: Hata mimi isipokuwa atakaponifunika mimi Mwenyezi Mungu kwa huruma zake na fadhila zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3636
Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3777
Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4316
- 4322
Hakika Mwenyezi Mungu amepanga mema na mabaya, kisha akalibainisha hilo, atakayekusudia kufanya jema akawa hakulifanya Mwenyezi Mungu humuandikia jema moja kamili, ikiwa atapania na akalifanya Mwenyezi Mungu humuandikia kwake mema kumi mpaka ziada ya mia saba, mpaka kufikia nyongeza ya juu zaidi, na atakayekusudia jambo baya na akawa hakulifanya Mwenyezi Mungu humuandikia kwake jema moja kamili, ikiwa atapania na akalifanya Mwenyezi Mungu humuandikia kwake dhambi moja
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4555
Hakika Mwenyezi Mungu hatazami sura zenu na mali zenu, lakini anatazama katika nyoyo zenu na matendo yenu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4810
- 4933
- 5456
“Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa Imamu Tirmidhiy - 5800
Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwenyezi Mungu: Upole, na utaratibu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5811
Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6327
kanipinga mwanadamu na hakustahiki kufanya hivyo, na amenitukana na hakustahiki kufanya hivyo
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 6337
- 6458
- 6615
Hakuna yeyote miongoni mwenu, isipokuwa ataongeleshwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama bila ya kuwapo na mkalimani yeyote kati yake na Yeye (Allah)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 8289
Wenye huruma huwahurumia Ar-Rahmani -Mwingi wa huruma-, wahurumieni walioko ardhini atakuhurumieni aliyeko mbinguni
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 8294
- 8343
“Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na Kutukuka, atawaambia watu wa Peponi: Enyi watu wa Peponi? Watasema: Labeka tumekuitikia na umetukuka, atasema: Je, mmeridhika? Watasema: Tuna nini mpaka tusiridhike hali yakuwa umetupa mambo ambayo hujampa yeyote katika viumbe wako?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake