Hadithi
Alama za Kiama .
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3110
Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni chongo, na hakika atakuja akiwa pamoja na mfano wa pepo na moto,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3145
“Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shari iliyokaribia, imefunguliwa leo katika ngome ya Ya'juuju na Ma'ajuju upenyo wa kiasi hiki.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3375
Hakika katika watu waovu zaidi ni wale watakaokutwa na Kiyama wakiwa hai, na mwenye kuyafanya makaburi kuwa mahala pa kusalia
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Ahmad - 6265
- 11220