Hadithi
Maisha ya Akhera.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 23
- 2962
La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3573
Hivi nisikuelezeni watu wa peponi? Kila mnyonge mwenye kujishusha, na lau kama angeliapia kwa Mwenyezi Mungu basi angelimuepusha (na kutopokea kiapo chake), hivi nisikuelezeni watu wa motoni? kila jeuri mkaidi mwenye kiburi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3624
- 3776
Hakika atakuja mtu mnene tena mkubwa siku ya kiyama akiwa halingani mbele ya Mwenyezi Mungu hata na uzito wa bawa la mbu
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 4186
- 4289
Jua litasogezwa karibu na viumbe Siku ya Kiyama mpaka liwe karibu nao umbali wa maili moja
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4950
Hautonyanyuka unyayo wa mja siku ya Kiyama mpaka aulizwe kuhusu umri wake aliumaliza katika mambo yapi? Na kuhusu elimu yake aliifanyia kazi katika nini? Na kuhusu mali yake ni wapi aliichuma? Na aliitoa katika mambo gani? Na kuhusu mwili wake aliumaliza katika mambo yapi?
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy - 5438
- 5460
Watafufuliwa watu siku ya Kiyama wakiwa peku, uchi, hawajatahiriwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5657
Hakika nyinyi mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi huu, hamtokingwa katika kumuona kwake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6454
Je mnajua ni nani aliyefilisika?
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 6611
Hakuna mwenye kumiliki dhahabu wala fedha, na akawa hazitolei zaka zake, isipokuwa, pindi itakapofika siku ya Kiyama, atakunjiwa Sahani la kutoka motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 8342
Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 8345
Mwenyezi Mungu atawakusanya watu wa mwanzo na mwisho katika udongo mmoja, atawasikilizisha mwenye kunadi, na atawapa upeo wa kuona, na jua linaposogea, watu watafikwa na tabu na matatizo kiasi ambacho hawatoweza kuvumilia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10115
Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 10635
- 65015
- 65031
Kwa hakika mimi nitakuwa kwenye Birika langu namtazama kila mwenye kuja kwangu kunywa, na kuna watu watafukuzwa, na nitasema: Ewe Mola wangu huyu anatokana na mimi na ni katika umma wangu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65075
Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah - 65172
Sisi ni Umma wa mwisho, na ndio wa kwanza kuhesabiwa
SahihiImepokelewa na Ibnu Maajah