Hadithi
Vitenguzi vya uislamu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3408
Hauondoi uchawi ila mchawi
Ni nzuriImepokelewa na Ibn Abii Shaybah - Imepokelewa na Alkhatwaby - 5981
Si miongoni mwetu atakayetafuta kujua habari za mikosi au akafanyiwa, au akafanya ukuhani au akafanyiwa, au akaroga au akarogewa
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Albazzar - 5989
Atakayechukua elimu katika elimu ya unajimu basi atakuwa kajichukulia sehemu ya uchawi, atazidi kuwa mchawi mkubwa kila anavyozidi kujifunza uchawi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 65010
"Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema: "Watu wangu kwenye kuteremka Mvua wamegawanyika makundi mawili kuna waumini na makafiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65093
Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65094
Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi huyo ni kafiri
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad