Hadithi
(Mambo ya kale kabla ya uislamu)
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3395
Enyi watu, tahadharini sana na kuchupa mipaka katika dini, kwani kilichowaangamiza waliokuwa kabla yenu ni kuchupa mpaka katika dini
SahihiImepokelewa na Ibn Majah, Nasai na Ahmad - 3402
Yakwamba Mtume rehema na Amani zimfikie aliulizwa kuhusu Nushra (kutibu uchawi kwa uchawi)? Akasema: Hiyo ni katika kazi za shetani.
SahihiImepokelewa na Abuu Daud - Imepokelewa na Ahmad - 3407
Hakuna kuambukizana, wala mikosi ya ndege, wala mkosi wa Bundi, wala mkosi wa Kipanga (Jamii ya ndege). Na mkimbie mwenye ukoma kama unavyomkimbia simba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5380
Si miongoni mwetu atakayepiga mashavu, na akachana mifuko, na akaomboleza kwa maombolezo ya watu wa zama za ujinga
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5981
Si miongoni mwetu atakayetafuta kujua habari za mikosi au akafanyiwa, au akafanya ukuhani au akafanyiwa, au akaroga au akarogewa
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Albazzar - 8918
Neno hilo huwa limetoka katika ukweli, Jini hulikwapua na kulinong'oneza katika sikio la kipenzi chake mfano wa kuku anavyotetea, hulichanganya na uongo zaidi ya mia moja (100)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake