Hadithi
Kuzidi kwa Imani na Kupungua kwake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 3480
- 6468
Imani ni zaidi ya vitengo sabini au zaidi ya sitini, bora yake ni kauli ya Laa ilaaha illa llaah, na ya chini yake ni kuondoa udhia barabarani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10101
Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkono wake, na mhamaji ni yule mwenye kuyahama yale aliyoyakataza Mwenyezi Mungu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65001
- 65002
Yeyote atakayefanya wema katika Uislamu basi hatoadhibiwa kwa yale aliyoyatenda katika zama za ujinga, na yeyote atakaye tenda maovu akiwa katika Uislamu ataadhibiwa kwa makosa yake ya mwanzo na ya mwisho
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65011
- 65020
- 65116
- 65218