Hadithi
Kufuru
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 6361
Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa katika nasaba (ukoo), na kulia kwa kumuomboleza maiti
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 8883
Hatomtuhumu mtu mwenzake kwa machafu, na wala hatomtuhumu kwa ukafiri, isipokuwa hurejea kwake, ikiwa ndugu yake hatokuwa hivyo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65009
na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65010
"Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema: "Watu wangu kwenye kuteremka Mvua wamegawanyika makundi mawili kuna waumini na makafiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65093
Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65094
Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi huyo ni kafiri
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad