Hadithi
Ushirikina.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 11
- 3334
- 3336
Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
SahihiImepokelewa na Ahmad - 3359
Atayeapa kinyume na Mwenyezi Mungu basi atakuwa amekufuru au kafanya ushirikina
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 3381
- 3383
Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, alisema hivyo mara tatu", Na hakuna yeyote miongoni mwetu isipokuwa ana chembe ya hilo, isipokuwa Mwenyezi Mungu huliondoa kwa kumtegemea
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 3384
- 3402
Yakwamba Mtume rehema na Amani zimfikie aliulizwa kuhusu Nushra (kutibu uchawi kwa uchawi)? Akasema: Hiyo ni katika kazi za shetani.
SahihiImepokelewa na Abuu Daud - Imepokelewa na Ahmad - 3416
- 3418
- 3421
- 8964
Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Ahmad