Hadithi
Unafiki.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3366
Hakika swala nzito zaidi kwa wanafiki ni swala ya Ishaa na swala ya Alfajiri, na lau kama wangejua (malipo) yaliyomo, basi wangeziendea hata kwa kutambaa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65019
- 65124
Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na sifa ya unafiki mpaka aiache: Akizungumza husema uongo, na akiingia makubaliano hufanya hiyana, na akiahidi anakwenda kinyume, na akigombana huvuka mipaka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66537
Mambo manne yatakayekuwa kwake atakuwa mnafiki halisi, na itakayekuwa kwake sifa moja kati ya hizo, atakuwa na sifa ya unafiki mpaka aiache: Akizungumza husema uongo, na akiingia makubaliano hufanya hiyana, na akiahidi anakwenda kinyume, na akigombana huvuka mipaka
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim