Hadithi

Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni

Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0

SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy

Matini ya Kiarabu

عن جابر رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: «رَحِمَ اللهُ رَجُلًا سَمْحًا إِذَا بَاعَ، وَإِذَا اشْتَرَى، وَإِذَا اقْتَضَى».

Tafsiri

Imepokelewa Kutoka kwa Jabiri -Radhi za Allah ziwe juu yake- yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni".

Ufafanuzi

Alimuombea rehema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kila mwenye kuwa mwepesi mkarimu mpole katika biashara yake; Hamkadamizi mnunuzi katika bei yake, na anaamiliana naye kwa tabia njema, Mwepesi mkarimu mpole anaponunua; Hapunji na kupunguza thamani ya bidhaa, Mwepesi mkarimu mpole anapodai kulipwa madeni yake; hamtilii mkazo fukara na muhitaji, bali anamdai kwa upole na huruma, na anampa muda mwenye hali ngumu.

Mafunzo

  • Miongoni mwa malengo ya sheria ni kuhifadhi yenye kutengeneza mahusiano baina ya watu.
  • Himizo la kutumia tabia za hali ya juu katika miamala baina ya watu kuanzia kuuza na kununuwa na mfano wake.
Ufafanuzi: العربية

دعا النبي صلى الله عليه وسلم بالرحمة لكل من كان: سهلًا جَوَادًا سَخِيًّا في بيعِه، فلا يُشدِّد على المشتري في سعرها ويعامله بخُلُقٍ حَسَن. سهلًا جوادًا سَخِيًّا إذا اشترى، فلا يَبْخَس ويُقَلِّل من قيمة البِضَاعَة. سهلًا جوادًا سخيًا إذا طَالَبَ بقضاءِ الدُّيون التي له، فلا يُشدِّد على الفقير والمُحتاج، بل يُطالِبه برفق ولُطف، ويُنْظِر المُعسر.

  • مِن مَقاصد الشريعة الحِفاظ على ما يُصلِحُ العلاقاتِ بين الناس.
  • الترغيب في استعمال معالي الأخلاق في المعاملات بين الناس من البيع والشراء ونحو ذلك.

Mada

Ripoti kosa

Zaidi