Hadithi
Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
Mambo yaliyo bora. (93)
- Ubora wa Tauhiid. (11)
- Ubora wa Qur'an tukufu. (8)
- Ubora wa Kuwatendea Wema wazazi wawili: (4)
- Ubora wa kuunga udugu. (2)
- Ubora wa watu wa nyumba ya mtume Radhi za Allah ziwe juu yao. (1)
- Ubora na fadhila za matendo mema. (20)
- Fadhila za Adh-kaar. (16)
- Fadhila za Dua. (4)
- Fadhila za matendo ya moyoni. (9)
- fadhila za matendo ya viungo. (5)
Adabu za kisheria. (61)
- Adabu za mjuzi na mwenye kujifunza. (4)
- Adabu za usomaji wa Qur'ani. (3)
- Adabu za kutoa salamu na kubisha Hodi. (9)
- Adabu za kula na kunywa. (7)
- Adabu na Hukumu za Safari. (3)
- Adabu za kulala na Kuamka. (4)
- Adabu za kuona Ndoto (4)
- Adabu za Ziara kutoa salamu na kubisha Hodi. (1)
- Adabu za kupiga Chafya na Miayo. (4)
- Adabu za kumtembelea mgonjwa. (2)
- Adabu za kuvaa. (7)
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali. (67)
- Muongozo wa Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake katika kuleta Adh-kaar- nyiradi. (5)
- Faida za Kumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu. (12)
- Nyiradi za Asubuhi na Jioni. (6)
- Adh-kaar zote - mbalimbali. (6)
- Adh-kaar za kutoka na kuingia nyumbani. (2)
- Adh-kaar za kutoka na kuingia Msikitini. (2)
- Adh-kaar ambazo husemwa wakati wa matatizo. (1)
- Adh-kaar za mambo ya Dharura. (8)
- Hukumu za Dua. (1)
- Adabu za Dua. (5)
- Sababu za Kujibiwa Dua. (5)
- Dua zilizopokelewa toka kwa mtume. (18)
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha (124)
- Matendo ya moyoni. (22)
- Maradhi ya Moyo. (2)
- Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. (8)
- Hali za watu wema. (5)
- Kuyasema vibaya Maasi. (15)
- Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. (20)
- Kuyasema vibaya matamanio ya nafsi na ya kimwili. (7)
- Toba (8)
- Kuzitakasa Nafsi. (17)
- Watu wa makaburini. (2)
- Sifa za pepo na moto. (28)
matokeo 386
- 2932
Ewe Abbasi, ewe ami yake na Mjume wa Mwenyezi Mungu, muombe Mwenyezi Mungu afya katika Dunia na Akhera
Ni sahihi kwa sababu ya hadithi nyinginezoImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 2936
Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani bin fulani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2941
Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2944
Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2967
Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2981
Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mkono wake, damu ikachuruzika na wala haikukatika mpaka akafa, akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Kaniharakisha mja wangu yeye mwenyewe, na mimi nimemharamishia pepo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2985
“Msivae hariri wala dibaji (Sufi) wala msinywe katika vyombo vya dhahabu au vya fedha, wala msile katika vyombo vilivyotengenezwa kwa dhahabu na fedha, kwani ni vyao (Makafiri) katika dunia na sisi ni vyetu Akhera
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2986
Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3007
- 3010
Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa kuchonganisha watu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3014
Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3017
Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ahmad - 3021
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoja wenu basi na alale
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3037
- 3041
Mchungeni(mfuatilieni) Muhammadi -Rehema na Amani ziwe juu yake- kwa watu wa nyumba yake
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3044
Madhambi makubwa: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kuwaasi wazazi wawili, na kuuwa nafsi, na kiapo cha uongo
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3053
- 3055
"Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim