Hadithi

Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu yake watu hata siku moja isipokuwa kwanza alianza kuwaita katika Uislamu

Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0

SahihiImepokelewa na Ahmad na Albayhaqy

Matini ya Kiarabu

عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا قَالَ: مَا قَاتَلَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَوْمًا قَطُّ حَتَّى يَدْعُوَهُمْ.

Tafsiri

Kutoka kwa bin Abbas- radhi za Allah ziwe juu yao amesema: Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu yake watu hata siku moja isipokuwa kwanza alianza kuwaita katika Uislamu.

Ufafanuzi

Ameeleza bin Abbasi radhi za Allah ziwe juu yao kuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake hakuwahi kuanza kuwapiga vita watu mpaka kwanza awaite katika Uislamu, wasipokubali wito wake anawapiga vita.

Mafunzo

  • Sharti la kufikisha ujumbe wa Uislamu kwanza kabla ya vita, ikiwa Uislamu haujawafikia.
  • Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwaita katika Uislamu, wakikataa basi anawapa hiari ya kulipa kodi, wakikataa anawapiga vita, kama ilivyokuja katika hadithi zingine.
  • Lengo la Jihadi ni watu kuingia katika Uislamu, na si tamaa ya kuwaua na kuchukua mali zao na miji yao.
Ufafanuzi: العربية

أخبر ابن عباس رضي الله عنهما أن النبي صلى الله عليه وسلم لم يبدأ بمقاتلة قوم حتى يدعوهم إلى الإسلام أولًا، فإن لم يستجيبوا لدعوته قاتلهم.

  • اشتراط الدعوة إلى الإسلام قبل القتال إذا كان الإسلام لم يبلغهم.
  • كان النبي صلى الله عليه وسلم يدعوهم إلى الإسلام، فإن رفضوا عرض عليهم دفع الجزية، فإن رفضوا قاتلهم، كما جاء في أحاديث أخرى.
  • الحكمة في الجهاد دخول الناس في الإسلام، وليس الطمع في رقابهم وأموالهم وبلادهم.

Mada

Ripoti kosa

Zaidi