Hadithi
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
Sala. (129)
- Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. (11)
- Fadhila za Swala. (15)
- Adhana na Iqama. (10)
- Nyakati zilizo katazwa kusali. (2)
- Masharti ya Swala. (4)
- Nguzo za swala (2)
- Mambo ya wajibu ndani ya Swala (1)
- Nguzo za Swala. (4)
- Sifa za Swala. (18)
- Adh-kaar - zisomwazo- wakati wa swala. (14)
- Vyenye kuharibu Swala. (1)
- Makosa ya wenye kusali. (5)
- Sijida kwa ajili ya kusahau na kusoma na kushukuru (1)
- Ubora wa Swala ya Jamaa na Hukumu zake. (9)
- Hukumu ya Imamu na Maamuma. (6)
- Swala za watu wenye Dharura. (1)
- Swala ya kuomba Mvua. (1)
- Hukumu za Misikiti. (15)
Funga. (29)
- Wajibu wa funga na hukumu ya mwenye kuiacha (3)
- Ubora na Fadhila za Funga. (5)
- Sunnah za Funga. (3)
- Kuuona Mwezi. (1)
- Kufunga siku ya Shaka. (1)
- Kuilipa funga. (1)
- Funga za watu wenye Dharura. (1)
- Vyenye kuharibu Funga. (1)
- Yaliyo haramu kwa mfungaji. (1)
- Funga za Kujikurubisha. (3)
- Kufanya Itikafu. (2)
- Masiku kumi ya mwisho wa mwezi wa Ramadhani. (5)
- Ramadhani. (1)
Hijja na Umra. (15)
- Wajibu wa Hijja na Umra na hukumu ya mwenye kuziacha (2)
- Fadhila za Hijjah na Umra. (4)
- Masiku kumi ya Dhul hijjah. (1)
- Hukumu za Msikiti wa Makkah na Msikiti wa Mtume na msikiti wa Aq'swa (1)
- Hukumu za Kuhirimia. (1)
- Yaliyo wajibu katika Umra. (1)
- Sifa za Hijjah. (1)
- Hukumu za Msikiti wa Mtume (1)
- Vichinjwa. (2)
- Hukumu na Mambo ya Hijjah na Umra. (1)
matokeo 265
- 1751
Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwisho muweka kafuri -au chochote katika kafuri-, mkimaliza nipeni idhini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2753
Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2754
- 2758
Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku aliyozaliwa na mama yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2759
- 2936
Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani bin fulani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2944
Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2949
Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake, akakemea vikali Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuuwawa wanawake na watoto
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2967
Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2969
“Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2971
Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wake, akasema, Bismillahi Allaahu Akbar, na akaweka mguu wake ubavuni mwao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3013
Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3014
Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3024
Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akikubusu basi nisingekubusu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3029
hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata hedhi ndani yake, kisha oga na swali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3031
Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake