Hadithi
Tiba na kutumia dawa na Ruq'ya ya kisheria.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 3160
Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3396
- 3409
Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako kuliko ngamia wekundu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5273
Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 5542
Ondosha tatizo, ewe Mola wa watu, na ponya kwani wewe ndiye mponyaji, hakuna ponyo ila ponyo lako, ponyo lisiloacha ugonjwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5650
- 6018
- 6270
Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akasema akiwa kwake mara saba: Namuomba Allah Mtukufu, Mola wa Arshi Tukufu, akuponye, isipokuwa Mwenyezi Mungu atamponya kwa maradhi hayo
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 66205
Walikuja watu kutoka kabila la Ukli au Uraina, wakauchukia mjini Madina
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake