Hadithi
Adhabu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Hukumu za (Haddi)_Adhabu zilizopangwa kisheria. (1)
- Adhabu ya unywaji pombe. (1)
- Adhabu ya wizi. (1)
- Adhabu ya vibaka. (2)
- Adhabu ya mwenye kuritadi. (2)
- Hukumu za uaibishaji. (2)
matokeo 10
- 2964
Mkono unakatwa kwa robo Dinari na kuendelea
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2987
Hapigwi mtu zaidi ya viboko kumi isipokuwa kama itakuwa katika kutelekeza sheria miongoni mwa sharia za Mwenyezi Mungu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2997
Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4714
Si halali damu ya muislamu isipokuwa kwa moja kati ya mambo matatu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 58091
Hamtazami Mwenyezi Mungu mtu ambaye kamuingilia mwanaume au mwanamke katika tupu yake ya nyuma
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa - 58227
Msiadhibu kwa adhabu ya Mwenyezi Mungu
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 66205
Walikuja watu kutoka kabila la Ukli au Uraina, wakauchukia mjini Madina
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66211
Atakayefanya jambo la kustahiki kuadhibiwa, ikaharakishwa adhabu yake basi Mwenyezi Mungu ni muadilifu zaidi juu ya mja wake (hawezi) kumuadhibu mara mbili akhera
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah - 66214
Msimlaani, Wallahi, namuapa Mwenyezi Mungu sikujua lolote kwake isipokuwa anampenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 66510
Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu amefaradhisha faradhi basi msizipoteze, na akaweka mipaka basi msiivuke, na akaharamisha vitu basi msivivamie, na akayanyamazia mambo kwa kukuhurumieni si kwa kusahau basi msiyatafute
Amesema Imamu Nawawi: Hadithi hii ni hasanImepokelewa na Addar- Alqutni katika Sunanu yake na wengineo