Hadithi
Majeneza.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Mauti na Hukumu zake. (4)
- Kuosha Maiti. (1)
- Kumbeba maiti na kumzika. (3)
- Kutembelea Makaburi. (2)
- Matendo mema kwa niaba ya maiti na kumtunukia thawabu (1)
matokeo 11
- 1751
Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwisho muweka kafuri -au chochote katika kafuri-, mkimaliza nipeni idhini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2944
Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3109
Fanyeni haraka kulipeleka jeneza, likiwa ni la mtu mwema, basi mnaliwahisha kupata kheri, na likiwa kinyume na hivyo, basi hiyo nishari mnajiwekea shingoni kwenu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3228
Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa katazo hilo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3446
- 4849
hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alijitenga mbali na mpiga mayowe, na mnyoa nywele, na mchana nguo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5364
Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 5379
Amewalaani Mwenyezi Mungu Mayahudi na Wakristo, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa mahali pa kusalia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65040
Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy - 65546
Watamkisheni maiti wenu (neno) Laa ilaaha illa llaah
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65566