Hadithi
Ndoa.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Fadhila za Ndoa . (1)
- Adabu za Ndoa. (1)
- Hukumu na Masharti ya Ndoa. (1)
- Masharti ya Ndoa (1)
- Maisha ya wanandoa. (5)
matokeo 12
- 3071
Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5792
Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule mbora wenu kwa wake zake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 5819
Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5821
Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanaume) hao si bora kati yenu
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Ibn Majah - 5863
Enyi kongamano la vijana mwenye uwezo miongoni mwenu wa kuoa na aoe, kwani ndoa ni sababu ya kuinamisha macho na kulinda tupu, na asiekuwa na uwezo basi ajilazimishe kufunga, hakika funga kwake itakata matamanio
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6021
Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 58060
Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja)
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad - 58066
Hakuna ndoa ila kuwe na walii (Msimamizi)
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 58067
Mwanamke yeyote atakayeolewa bila idhini ya walii wake, basi ndoa yake ni batili" Akasema hivyo mara tatu "Ikiwa atamuingilia basi mahari yake ndio itakuwa kwa ajili ya kile alichokifanya kwake, na ikiwa watazozona basi kiongozi ndiye msimamizi wa asiyekuwa na msimamizi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 58090
Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa naAbu Daud na Nasai katika Sunan Alkubra na Ahmad - 58093
Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni zipi haki za mke wa mmoja wetu juu yake?, Akasema: "Ni umlishe pale unapokula, na umvishe unapovaa, au utakapopata kipato, na wala usipige uso, na wala usitoe maneno machafu, na wala usihame isipokuwa ndani ya nyumba
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 58125
Atakayekuwa na wake wawili akaegemea kwa mmoja wao atakuja siku ya Kiyama upande wake mmoja ukiwa umepinda
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad