Hadithi
Mavazi na Mapambo.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 4292
Hakika vitu hivi viwili ni haramu kwa wanaume wa umma wangu, ni halali kwa wanawake wao
SahihiImepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah - 8905
Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwanamke anayevaa vazi la mwanaume
SahihiImepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah kwa maana yake na Ahmad - 58099
Kamlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwenye kuunga nywele na mwenye kuungwa, na mwenye kuchora chata na mwenye kuchorwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65416
Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini wakitaka kutoka watoke wakiwa hawajajipamba
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud - 66386
Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy