Hadithi
Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3409
Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako kuliko ngamia wekundu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11148
Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia
SahihiImepokelewa na Ahmad na asili yake ipo katika Sahih Muslim - 11161
- 65057
Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad