Hadithi
Tabia mbovu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 26
- 2936
Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani bin fulani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2941
Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3010
Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa kuchonganisha watu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3331
Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3578
Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema: Audhubillaahi minash-shaitwani, -Najilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na Shetani- ingemuondokea hasira anayoipata
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3705
Hakika umesema neno ambalo lau lingechanganywa na maji ya Bahari basi (lingeyabadili rangi) kwa kuchanganyika nayo
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 4963
Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5332
Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5333
Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5368
Haingii peponi mfitinishaji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5474
Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5495
Hakika watoa laana hawatokuwa mashahidi wala watetezi siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5787
- 5811
Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6262
Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa kwa ajili ya kupata masilahi ya kidunia, basi hatoipata harufu ya Pepo siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 6454
Je mnajua ni nani aliyefilisika?
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 6982
Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonekana kuwa ni uongo basi huyo ni mmoja kati ya waongo
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim katika Utangulizi wake - 8886
- 8888
Hakika Mwenyezi Mungu huwaadhibu wale wanaowaadhibu watu duniani
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 8904
Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
SahihiImepokelewa Imamu Muslim