Hadithi
Adabu za kulala na Kuamka.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3021
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoja wenu basi na alale
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6167
Ewe Mwenyezi Mungu nikinge na adhabu yako siku utakapowakusanya au kuwafufua waja wako
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy - 65060