Hadithi
Adh-kaar za kutoka na kuingia nyumbani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3037
- 3504
Atakayesema: -Yaani: anapotoka nyumbani kwake-: Bismillaahi tawakkaltu a'la llaahi -kwa jina la Mwenyezi Mungu nimemtegemea Mwenyezi Mungu, Laa haulaa walaa quwwata illaa billaa- hakuna ujanja wala nguvu isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, huambiwa: Umeongozwa na umetoshelezwa na umekingwa, na shetani hujitenga mbali naye
SahihiImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Abuu Daud