Hadithi
7- Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- 7- Hukumu ya kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya: (4)
- 7-fadhila na ubora wa kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya: (2)
- 7- Adabu za kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya: (1)
- Misingi ya kuamrisha mema na kukataza mabaya (1)
matokeo 7
- 3045
Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu kwa kiongozi dhalimu
Ni nzuri kwa sababu ya hadithi nyinginezoImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 3341
- 3470
Hakika watu wakimuona dhalimu na wasimchukulie hatua, basi wako karibu Mwenyezi Mungu kuwaadhibu wote kwa adhabu yake
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah na Ahmad - 3531
Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mtaamrisha mema, na mtakataza mabaya; au hakika atakuwa karibu zaidi Mwenyezi Mungu kukutumieni adhabu toka kwake, kisha mtamuomba na wala hamtojibiwa
Ni nzuriImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Ahmad - 65001
- 66197
- 66273
Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad