Hadithi
Wajibu wa Kiongozi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3156
Hakika utakuja kutokea uchoyo na kujipendelea baada yangu na mambo msiyoyajua (uzushi)" Wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu unatuamrisha nini? Akasema: "Mtekeleze haki ya wajibu kwenu, na mumuombe Allah haki yenu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5791
Wallah hatochukua chochote yeyote miongoni mwenu pasina haki yake, isipokuwa atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa amekibeba alichochukua siku ya Kiyama
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5819
Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66516
Dini ni nasaha
SahihiImepokelewa Imamu Muslim