Hadithi
Adabu za Kukidhi Haja.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3078
“Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3079
Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au kubwa kwa mkono wake wa kulia na asipumulie ndani ya chombo anachonywea
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3150
- 10044
Jisafisheni vizuri kutokana na mkojo; kwani adhabu nyingi za kaburini zinatokana na hilo.
SahihiImepokelewa na Addaar- Alqutni - 10045
Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake amekataza kustanji kwa kinyesi cha wanyama au mfupa
SahihiImepokelewa na Addar- Alqutni - 10046
Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anapotoka kukidhi haja anasema: "Ghufraanaka" Msamaha unatoka kwako
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 10048
Asistanji mmoja wenu kwa chini ya mawe matatu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim