Hadithi
Udhu - kutawadha.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Fadhila - ubora wa kutawadha. (5)
- Nguzo za Udhu. (2)
- Sunna na Adabu za Kutawadha (8)
- Sifa za Kutawadha. (6)
- Vyenye kuharibu Udhu. (1)
matokeo 23
- 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3284
- 3313
Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake, basi Allah atamsamehe madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3356
Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu
SahihiImepokelewa na Ibnu Maajah - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Abuu Daud - Imepokelewa na Ahmad - 3444
akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3534
Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3535
Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim - Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake - 3731
Anafunga shetani juu ya kisogo cha kichwa cha mmoja wenu, pindi anapolala, mafundo matatu, anafunga katika kila fundo usiku kucha na husema : basi lala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3758
- 6263
- 8377
Atakapoamka mmoja wenu kutoka usingizini mwake basi na apenge kwa maji mara tatu, kwani Shetani hulala ndani ya tundu zake za pua
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 8378
Eneza maji ya udhu, na uachanishe kati ya vidole, na pandisha maji yafike puani, isipokuwa utakapokuwa umefunga
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai na Ibn Majah - 8386
Yakwamba mtu mmoja alitawadha, akaacha sehemu ndogo saizi ya kucha miguuni kwake, akaiona Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake akasema: "Rudi katawadhe vizuri udhu wako" Akarudi, kisha akaswali
Ni sahihi kwa ushahidi wake mbalimbaliImepokelewa Imamu Muslim - 8387
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiosha, au akioga, kwa kibaba kimoja mpaka vibaba vitano, na anatawadha kwa kibaba kimoja
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 8388
- 65004
- 65080
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65081
Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65082
Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65083