Hadithi
Hedhi Nifasi na Damu ya Ugonjwa.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3029
hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata hedhi ndani yake, kisha oga na swali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3449
Nilimuuliza Aisha nikasema: Vipi kuhusu mwenye hedhi analipa swala na wala halipi swala?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10014
Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote
SahihiImepokelewa na Abu Daud kwa matamshi haya, na amepokea Bukhari bila ya kuzidisha (baada ya kutwaharika) - 10015
Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga
SahihiImepokelewa Imamu Muslim