Hadithi
Nguzo za Swala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3112
Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? akasema: ndio
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 7191
Lau angejua mwenye kupita mbele ya mwenye kuswali nini anachokipata, basi kusimama arobaini ni bora kwake kuliko kupita mbele yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65463
- 65735
Lau wangejua watu waliyomo katika Adhana na safu ya kwanza, kisha wasipate nafasi ila kwa kupiga kura ili kuyafikia basi wangelipiga kura
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake