Hadithi
Sifa za Swala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 18
- 3095
Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua swala,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3096
Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja changu kikiwa kati ya viganja vyake, kama anavyonifundisha sura ndani ya Qur'ani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3111
Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3185
Rudi kaswali, kwani wewe hujaswali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10906
- 10925
Nimeamrishwa nisujudu kwa viungo saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10927
Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 10930
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema kati ya sijida mbili: "Allaahumma ghfir lii, warhamnii, wa aafiniii, wahdinii, warzuqniii
Ni Nzuri kwa Ushahidi wake mbalimbaliImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 10945
- 11256
- 65096
Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65097
Pindi mtakaposwali basi nyoosheni safu zenu, kisha akuongozeni mmoja wenu, atakapotoa takbira basi toeni takbira
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65098
- 65100
- 65101
- 65104
Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Nasai, Ibn Majah na Ahmad - 65105
- 65463