Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
Matini ya Kiarabu
عن حُذَيْفَةَ رضي الله عنه: أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ يَقُولُ بَيْنَ السَّجْدَتَيْنِ: «رَبِّ اغْفِرْ لِي، رَبِّ اغْفِرْ لِي».
Tafsiri
Kutoka kwa Hudhaifa -Radhi za Allah ziwe juu yake-: Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii".
Ufafanuzi
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema wakati wa kikao kilichopo baina ya sijida mbili: Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii. Na maana ya Rabbigh-firlii: Ni mja kuomba kutoka kwa Mola wake ayafute madhambi yake na asitiri aibu zake.
Mafunzo
- Sheria ya dua hii kati ya sijida mbili katika swala ya faradhi na sunna.
- Inapendeza kuirudiarudia kauli ya Rabbigh-firlii, ila wajibu ni kuisema mara moja.
Ufafanuzi: العربية
كان النبيُّ صلى الله عليه وسلم يقول عند الجلوس بين السجدتين: رب اغفر لي رب اغفر لي، ويكررها. ومعنى رب اغفر لي: طَلَبُ العبدِ مِن ربِّه أنْ يَمْحُوَ ذنوبَه ويَستُرَ عيوبَه.
- مشروعية هذا الدعاء بين السجدتين في صلاة الفَرْضِ والنَّفْلِ.
- استحباب تكرار قول: رب اغفر لي، والواجب مرة واحدة.