Hadithi
Hukumu ya Imamu na Maamuma.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3031
Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3086
Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akifanye kichwa chake kuwa kichwa cha punda, au aifanye Mwenyezi Mungu sura yake kuwa sura ya punda
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6097
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anaposema: Sami'allaahu liman hamidah: (Amemsikia Mwenyezi Mungu mwenye kumhimidi) alikuwa hanyanyui yeyote miongoni mwetu mgongo wake mpaka aporomoke Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa kusujudu, kisha nasi tunaporomoka baada yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11303
Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alimuona mtu mmoja akiswali peke yake nyuma ya safu, akamuamrisha arudie swala yake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 11310
Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko katika hali fulani, basi na afanye kama anavyofanya
SahihiImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - 65097
Pindi mtakaposwali basi nyoosheni safu zenu, kisha akuongozeni mmoja wenu, atakapotoa takbira basi toeni takbira
SahihiImepokelewa Imamu Muslim