Hadithi
Kisimamo cha Usiku.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3565
Simama na uswali witiri ewe Aisha
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3758
- 4202
Mwenye kusimama usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) kwa imani na kutaraji malipo, husamehewa madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5520
Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe chakula, na msali usiku watu wakiwa wamelala, mtaingia peponi kwa amani
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 11259
Bwana mmoja alimuuliza Mtume Muhammad rehema na amani za Allah ziwe juu yake akiwa juu ya mimbari, waonaje kuhusu swala za usiku, akasema: "Ni rakaa mbili mbili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake