Hadithi
Ubora na Fadhila za Funga.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3546
Amesema Mwenyezi Mungu: Kila amali ya mwanadamu hiyo ni ya kwake isipokuwa swaumu, bila shaka hiyo ni yangu na mimi ndiye ninayeilipa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3738
Hakika Peponi kuna mlango unaoitwa Rayyani, watauingia wafungaji siku ya Kiyama, hato ingia ndani ya Pepo hiyo isipokuwa wafungaji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4196
Atakayefunga Ramadhani kwa imani na kutaraji malipo toka kwa Allah, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5863
Enyi kongamano la vijana mwenye uwezo miongoni mwenu wa kuoa na aoe, kwani ndoa ni sababu ya kuinamisha macho na kulinda tupu, na asiekuwa na uwezo basi ajilazimishe kufunga, hakika funga kwake itakata matamanio
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10107
Inapokuja Ramadhani hufunguliwa milango ya pepo na hufungwa milango ya moto, na mashetani hufungwa minyororo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake