Hadithi
Kupenda na Kuchukia.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 7
- 3122
Mtu huwa katika mwenendo wa rafiki yake wa karibu, basi na aangalie mmoja wenu ni nani anayemfanya kuwa rafiki yake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 3355
“Hakika mtafuata njia za walio kuwa kabla yenu, hatua kwa hatua, na dhiraa kwa dhiraa,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5343
- 5353
Atakaye jifananisha na watu fulani basi na yeye ni miongoni mwao
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad - 5365
Ni haramu kwa mtu kumhama ndugu yake zaidi ya siku tatu, wanakutana, huyu akampuuza huyu na huyu naye akampuuza huyu, na mbora wao ni yule anaye anza kwa salamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5375
Atakayedhuru Mwenyezi Mungu naye atamdhuru, na atakayewatia watu ugumu Mwenyezi Mungu naye atamtilia ugumu
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 8905
Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwanamke anayevaa vazi la mwanaume
SahihiImepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah kwa maana yake na Ahmad