Hadithi
Manabii na Mitume waliotangulia - juu yao amani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3711
“Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4295
Niacheni na vile nilivyo kuachieni, hakika waliangamia waliokuwa kabla yenu kwa sababu ya maswali mengi na kuwapinga mitume wao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65025
Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa hakimu na muadilifu, atavunja misalaba, na ataua nguruwe, na ataweka kodi (Jizia), na mali itabugujika (itakuwa nyingi) mpaka itafikia mahali hakuna yeyote atakayeikubali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66517
Yale niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi fanyeni katika hayo kadiri muwezavyo
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim